Paroles de Down Down

DOWN DOWN

[Intro]
Yeah man, this is S-KING
Unajuwa kila jambo huwa ujitokeza, huwa unasababu ya msingi
Na nilipofikiria niliona kuwa si kosa lako ama sikosa langu
Ila ni akili tu ndiyo imepunguka
Yeah karibu! Unasemaje! Dj Serge

[Verse 1]

Napo kumbuka machozi yanitoka
Wasubiri nini nazani we unge toka
Sitaki kuona hata kusikiliza haaa
Wewe nenda salama heee
Ulinikataa
Ukanitusi
Ukanizaraulisha kwa marafiki anouuuuuuuu
Sione haja ya kuongea na wewe ehhhhhhhhhh.
Time is money inanibidi niondoke
Usiliye wala kuangaika ulichopanda ndicho unavuna
Mapenzi yangu yote nilikupa
Lakini girl hukusikia eehhhhhh
Nakuomba sasa nenda, ohhh
Nakuomba sasa nenda, auohhh
Sitabaki na wewe tena I’m sorry girl, I’m sory goo
Nimepata mwengine, anayenifaa
Na Mungu akipenda tutaowana
Si ulinikataa eti sina pesa, ukafuata bishakoshi
Sasa ukowapi, ulitaka kutoka chini
Sasa leo uko down down down
ulitaka kutoka chini
Sasa leo uko down down down

[Verse 2]

I think you know that you had been my senorita
Na every day nilikupa ulichotaka
Niya yangu ilikuwa ufurahi
Siku zote tuliishi pamoja
Lakini girl ukanisaliti
Mbele ya watu ukanizarau
Ukasema eti huni juwi, huni juwi, huni juwi
Huyu girl alikuwa wangu
Mimi naye tulivuma kushinda kivu one
Lakini sasa leo tukowapi, tuko wapi, tuko wapi
Watu wananicheka, wananitusi, wananizarau kwa ajili yako
Wanasema eti mimi sifae
Baby go ohhhhhhh

Refrain

I’m sorry girl, I’m sory goo
I’m sorry girl, I’m sory goo
(Nimepata mwengine, anayenifaa
Na Mungu akipenda tutaowana
Si ulinikataa eti sina pesa, ukafuata bishakoshi
Sasa ukowapi, ulitaka kutoka chini
Sasa leo uko down –down- down
ulitaka kutoka chini
Sasa leo uko down down down) X2
I’m sorry girl, I’m sorry goo
I’m sorry girl, I’m sorry goo

[Verse 3]

Baby enenda, baby endenda, baby endenda, enenda salama
Baby enenda, sitaweza tena kuishi nawe ehh baby enenda, ehh
Baby endenda, baby enenda, baby enenda
Nenda salama bye, kama unapinga uliza hata
MIKA MPIANA anajuwa lisolo yote

Wanny s king
Dj serge
DSM Studio
Anna mwenonenu
Yes Naomi wooood