Other cover

Damu ya salaam Paroles

Khadja Nin

Album Other

Paroles de Damu ya salaam

tangu iraki mpaka amerika

wako karibu yakufunga vita

mi mama mzazi nauliza
ni nani ata linda watoto wetu

bwana hussein anasema:

"nataka salaam"

mi si aminiye neno ile

damu yaliyo mwangiwa

ni ya wadogo na watoto tu



mimi huyu nakosa njiya

yakusikika kwa wakubwa

kwa hakika tulijioneya
"nataka salaam"

mi si aminiye neno ile

damu yaliyo mwangiwa

ni ya wadogo na watoto tu



nakata matumaini

ju kwa vile naona

wakubwa hawajali macozi ya

mutu mudogo analiya wake

siraha ya amani ilikuta kwake

mr.clinton anasema:

"nataka salaam"

mi si aminiye neno ile

damu yaliyo mwangiwa

ni ya wadogo na watoto tu



mr.clinton anasema:

"nataka salaam"

mi si aminiye neno ile

damu yaliyo mwangiwa

ni ya wadogo na watoto tu