Other cover

Johnny Vigeti Is Back Paroles

Johnny Vigeti

Album Other

Paroles de Johnny Vigeti Is Back

And I'm tired of this...

Ken Ring

Johnny Vigeti Is Back!
Walisema eti Jonny amekwisha
Stori zinatatanisha mpaka hommie sipati picha
Wanaojifanya mabeshte wana grudge
Wasenge wako quick kunitupia sentence kama judge
Eti Johnny hii, Johnny ile
Wana-dwell kuhusu story hii hawaoni ile
Wana-criticise vako, kwa hiyo negativity ndio mi na-rise up
Na sitaki peace, sitaki toto mi ni baba
Yap, started from the bottom tuko hapa
Ukifanya mistake kurudi kwa msoto jo ni fasta
Halafu kivipi utalisha watoto? Jo ni blunder!
Five plus ma-junior lazima tu washibe Monday
Ikibidi tu nibonge ya stick up we unipe zangu
Mchizi niko kwenye grind kamilisha mission tangu
'94 machozi damu kisha kumwagike damu

Johnny Vigeti is back!
Hii ni real ghetto shit si mataniii!
Johnny Vigeti is back!
Watoto wadogo wanaleta mchezo kwenye fani
Tunaifanya vile tunafeel, si turidhishe watu
Mpaka nimeachana na heroin niwakilishe 1-2
Tumetoka mbali, fiti crew ni machizi Dandora wakifoka mtaani
Mpaka jam session
Big up kwa machizi wangu wanasota ndani
Keep your head up tu hivyo ni siku moja man
Don't to drugs! Mambo ya pony masufuri
Hakuna faida jo huchori man, hukuli
Utajukuta kwa shida, ni ngori man mhuni
Natafuta juu ya kina-shawty tu mi huwa situli
Take notes wanaojifanya wasomi waende skuli
Wakilisha 100 mpaka niende kaburi
Kutoka tu before, zile mi nachora tu ni raw
Kama kawa wakilisha Dandora to the core
Tusha-wisen up mambo tunachora tu ki-pro
Tunasonga tukigrow

Johnny Vigeti is back!
Hii ni real ghetto shit si mataniii!
Johnny Vigeti is back!
Watoto wadogo wanaleta mchezo kwenye fani
Johnny Vigeti is back!
Sikuwa nimeenda nilikuwa hapa hapa
Johnny Vigeti is back!
Na mission yangu ni kuwatafuna kama supper

(Gunshot)

Fuck you, your friends and your stupid career
But still I'm waiting in bed for you, coz you are... my only legend...
And I'm gonna show you things you've never did to me before
Even if I know you fuck all these other ladies, at least give me one hour
But fuck you for WHAT YOU DID, because my pussy has diamonds

Johnny Vigeti is back! (Gunshot)